Statement by UNRC at AIESEC YouthSpeak Forum - 26 May 2018

STATEMENT BY UN RESIDENT COORDINATOR MR. ALVARO RODRIGUEZ AT AIESEC YOUTHSPEAK FORUM

at National Museum

26 May 2018

 

The President, AIESEC in Tanzania, Mr. Amani Alphonce Shayo

Country Director, TradeMark East Africa in Tanzania, Mr. John Ulanga

Managing Director, Empower, Ms. Miranda Naiman

Government Representatives;

Members of Diplomatic Missions and Cooperation;

UN Colleagues;

Members of Civil Society;

Members of the Media; 

 

Mabibi na Mabwana,

Nina furaha sana kuwa hapa leo na kujiunga nanyi katika jukwaa hili muhimu ambapo vijana wanapata fursa ya kujadili kuhusu Malengo ya Dunia, fursa zake, utekelezaji wake na changamoto zake.

 

Malengo ya Dunia ni ajenda muhimu sana kwa Tanzania, Afrika na Ulimwengu mzima. Ajenda hii imelenga kuleta mabadiliko chanya kwa kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma katika utekelezaji wake. Ninafurahi sana ninapoona vijana wakishiriki katika usambazaji wa taarifa na utekelezaji wa Malengo haya kumi na saba. Zaidi ya nusu ya Idadi ya watu nchini Tanzania ni vijana, hivyo mnao wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba kila mtu anafahamu na kushiriki katika utekelezaji wa Malengo haya.

 

Ningependa kuzungumzia mambo makuu matatu. There are three things that I would like to emphasize on during this occasion.

 

Kwanza:Ningependa kuwasisitizia myafahamu Malengo haya kumi na saba. Know these goals for they are your life. You are the future leaders, parents, teachers and influencers in different sectors. Investing in  knowing and understanding the Global Goals is investing on the future.

 

 

Know the interlinkages that exist between the 5 years development Plan and the Global Goals. Understand how Tanzania has responded to the Goals.

 

 

Pili:Kama vijana ni lazima mshiriki katika utekelezaji wa Malengo ya Dunia. Be creative and innovative. Just earlier this month for those of you who follow me on Twitter you may have seen an interesting post of two 18-year-olds who inverted and built a robot arm from scratch using normal household items. Tanzania and the entire world needs innovation to come up with social solutions.

 

Tatu:vijana ni lazima mshiriki katika ufuatiliaji wa Mipango ya utekelezaji wa Malengo ya Dunia. Monitoring and evaluation is an important part of the implementation of the Global Goals. Come year 2030, the world needs to be able to track and asses how we have been doing so far. Lessons and challenges need to be shared.

 

 

 

Mwisho kabisa ningependa kusisitiza kwamba vijana tufanye ya wakati, wakati tuna wakati, kwani utafika wakati tuataka kufanya ya wakati, wakati hatuna wakati.

 

Ahsanteni sana, nawatakia kila la kheri.