Speech by UN Resident Coordinator, Mr. Alvaro Rodriguez on Human Rights Day on December 10, 2017

Habari za asubuhi na asalam aleykhum

Ninafuraha kubwa sana kuwa hapa Leo hii baada ya sherehe kubwa ya Uhuru wa Tanzania iliyofanyika Jana hapa mkoani Dodoma.

Siku ya Leo ni muhimu sana kwani inahusu mambo makuu mawili ambayo ni Haki za Binadamu na Maadili. Mambo haya mawili yanahusiana sana. Kama kweli nchi yoyote ina maadili yanayofaa ina maana tayari ina uwezo mkubwa wa kusimamia na kutekeleza haki za binaadamu kuliko nchi isiyokuwa na maadili. Na Kama vitu hivi viwili vinatekelezwa na kusimamiwa kwa dhati, ni dhahiri kabisa nchi itafanikiwa kufikia malengo ya maendeleo endelevu na Mpango wa Taifa.

Hivyo basi, kwa niaba ya wanafamilia wa Umoja wa Mataifa, nichukue FURSA hii, kuipongeza serikali ya Tanzania, na uongozi wake wa juu, kwa kuendelea kufanya vyema katika maeneo mbalimbali nchini; kusaidia na kufikia wananchi wengi, na kuwapatia huduma muhimu kama vile elimu na afya. Maeneo mengine ambayo serikali imekuwa ikifanya vizuri sana, ni pamoja na ukusanyaji na usimamizi wa mapato, na hata katika utumishi. Nasema hongereni Sana, na msichoke kusimamia Haki na Maadili, pamoja na kuwepo kwa changamoto mbalimbali; kwani Uzalendo halisi, ni kuweka maadili na Haki za Mwananchi yeyote mbele.

At this point, I would like to read out the message of the UN Secretary General, Antonio Guterres. I QUOTE

This year’s commemoration of Human Rights Day marks the beginning of a year-long celebration of seven decades since the adoption of one of the world’s most profound and far-reaching international agreements. The Universal Declaration of Human Rights establishes the equality and dignity of every human being and stipulates that every government has a core duty to enable all people to enjoy all their inalienable rights and freedoms.

All of us have a right to speak freely and participate in decisions that affect our lives. We all have a right to live free from all forms of discrimination. We have a right to education, health care, economic opportunities and a decent standard of living. We have rights to privacy and justice. These rights are relevant to all of us, every day. They are the foundation of peaceful societies and sustainable development.

Since the proclamation of the Universal Declaration in 1948, human rights have been one of the three pillars of the United Nations, along with peace and development.  While human rights abuses did not end when the Universal Declaration was adopted, the Declaration has helped countless people to gain greater freedom and security. It has helped to prevent violations, obtain justice for wrongs, and strengthen national and international human rights laws and safeguards.

Despite these advances, the fundamental principles of the Universal Declaration are being tested in all regions. We see rising hostility towards human rights and those who defend them by people who want to profit from exploitation and division.  We see hatred, intolerance, atrocities and other crimes.  These actions imperil us all.  

On this Human Rights Day, I want to acknowledge the brave human rights defenders and advocates, including UN staff, who work every day, sometimes in grave peril, to uphold human rights around the world.  I urge people and leaders everywhere to stand up for all human rights – civil, political, economic, social and cultural -- and for the values that underpin our hopes for a fairer, safer and better world for all.

END OF QUOTE


Mheshimiwa mgeni rasmi, kwa kumalizia, naomba
Kusema

Maadili na Haki za Binadamu havina muda maalum, mtu maalum, nchi maalum, jamii maalum, wala wakati na mahali maalum!

Wakati ni ukuta na kwa pamoja tusimamie maadili na Haki za Binadamu muda wowote, wakati wowote, mahali popote na kwa mtu yeyote! Wakati ni Huu!

Tanzania Hoyeee! Na Asanteni Sana!