Wito wa Kutuma Maombi Juu ya Uwekezaji Kupitia Sekta ya Kilimo Mkoani Kigoma

Wito wa Kutuma Maombi ya Uwekezaji

UNCDF inatoa mwaliko na kukaribisha maombi ya miradi ya uwekezaji kutoka kwa

sekta ya umma na binafsi inayoweza kutekelezwa kibiashara katika sekta ya

kilimo hususani eneo la miundo mbinu ya kilimo kama vile:

• Viwanda, mitambo na vifaa vya usindikaji wa mazao ya kilimo ya muhogo,

mahindi, mpunga na maharage. Pia mazao kutoka sekta ndogo za kilimo

zenye uwezekano mkubwa wa kuchangia maendeleo ya kiuchumi katika

maoeneo huiska kama vile ufugaji samaki, nyuki na asali, ufugaji wa kuku

nk.

• Ufungashaji – mfumo wa kuandaa mazao kwa ajili ya kuhifadhi, kusafirisha,

kuuza na matumizi kwa mlaji wa mwisho.

• Maghala ya kuhifadhia mazao ya kilimo.

 

• Vituo vya kukusanyia mazao.

 

Continue Reading

Call for Investment Proposals for the Agriculture Sector in Kigoma Region

Call for Investment Proposals

UNCDF is inviting commercially viable investment project proposals from public

and private developers with a focus on agricultural infrastructure such as:

• Facilities/plants and equipment for processing raw materials and

intermediate products derived from the agricultural sector including selected

commodities (maize, cassava, beans, rice,) and other agriculture subsectors

with higher local economic development potential e.g. bee-keeping,

fish farming, poultry, etc.

• Packaging – a system of preparing goods for storage, transport, logistics,

sale, and end use.

• Storage and warehousing

• Collection and aggregation centres for agricultural produce.

 

 

Continue Reading